Msaada kwenye window 7

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
132
Jmn naomben msaada wenu,
nina laptop yangu hapa imegoma kupga kaz,
baada ya kuINSTALL antvirus naona kila nikiwasha inaLOAD tu then inakuja kuonye recycle bean peke ake hlf screen yote inakua nyeusi
naomben mnisaidie niweze kui2mia tena cmptr yangu
natangulza shukran
 

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
12,656
11,759
kabla ya kuweka antivirus ilikuwaje? je specs za machine yako zinamudu window 7 usije weka hiyo wkt pc yenyewe ina 512 ram
 

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
100
windows yako kama sijakosea inaonekana haiko activated,fanya installation upya, uactivate,then ndo uweke hiyo antivirus.
 

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
132
Nmejarbu kuwasha kwa safe mode
inawaka but still background ni nyeus
then nikstart window normal ina leta massage hii
"C:\Windows\system32\config\systemprofile\Desktop is not accessible.
Access is denied"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom