Vodacom offer... Ongea mpaka baaaasii

Vodacom offer... Ongea mpaka baaaasii

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Ukiwa na sh 50 tu unaongea na mtu mmoja "unlimited calling" 24hrs kwa kupiga *804*1*namba#
kama hiyo ikikataa ipo hii tena
ukiwa na sh 75 unaongea tena na namba moja 24 hrs kama hapo juu ila utakatwa 75 badala ya 50. *801*1*namba# ila nadhani inachagua baadhi ya namba lakini kwangu mimi huduma zote zinakubali kwenye laini yangu.
 
mbona ipo tokea july??kuna namba selected... na sio 24hrs kama hapo awali...siku hz inaishia saa 2359hrs...hivyo hata ukijiunga saa 4 usiku inaisha saa 5 na dkk 45 usiku alafu wanalazimisha...wanakuunga hata kama hutaki
 
ila unauwezo wa kujiengua tu unaandika *801*2# au *804*2#
 
Naomba kuuliza, je hiyo Tsh. 50 au 75 nitakatwa kila siku hata kama sitopiga simu kwa namba hiyo kwa siku husika?
 
mpaka namba ako iwe selektd.sio kila namba inakubali, wakikuchagua watakutmie msg.. Vingnevyo itakugomeaa
 
Ukiwa na sh 50 tu unaongea na mtu mmoja "unlimited calling" 24hrs kwa kupiga *804*1*namba#
kama hiyo ikikataa ipo hii tena
ukiwa na sh 75 unaongea tena na namba moja 24 hrs kama hapo juu ila utakatwa 75 badala ya 50. *801*1*namba# ila nadhani inachagua baadhi ya namba lakini kwangu mimi huduma zote zinakubali kwenye laini yangu.

umenishangaza,. Ya sh.50 inakubali na ya 75 at the same time?? Na unaunga namba tofauti??
 
hiyo 50 inakalia wapi sasa au ni salio liwe hivyo..
 
Hawa wanapata pesa nyingi sana sababu ya ujinga wetu,u.s.a wanalipa dola20 had 25 kwa mwezi sawa na kama elfu 40sh.na nimatajir na wanajiweza.lakini sisi kwasiku mimi natumia zaid xa 2000 nahapo sijatoka nje ya mtandao.sasa tunataka tulipie elfu tatu kwa mwezia au elfu na miatano kwa mwezi ili tujitofautishe na nchi zenye uchumi wa juu,tutalipaje kwa sekunde?wakati sh 1 ya tz haina kazi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom