BB Help!

Retreat

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
228
225
Habari za leo wakuu,

Jamani mimi BB yangu ghafla imeacha kudisplay majina ya watu kwenye contact yangu ambayo nimeya-save. Mtu akinipigia inaonekana namba tu wakati nime-msave, tatizo linaweza likawa ni nini labda?

Wataalam wa Brackberry hebu saidia mimi! Maana napata shida sana kujua nani ananipigia.

Natanguliza shukrani!
 
morphine

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
3,363
2,000

mdau lete model ya BB pamoja na OS version uliyonayo kwenye hiyo BB yako
 
Retreat

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
228
225
mdau lete model ya BB pamoja na OS version uliyonayo kwenye hiyo BB yako

Ni BB 9300 3G Curve, OS version ni 6.0 Bundle 2475 Sijui nimejibu sahihi mdau Morphine?

Kama nipo sahihi basi naomba soln yake kama unaijua.

Asante!
 
morphine

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
3,363
2,000
Ni BB 9300 3G Curve, OS version ni 6.0 Bundle 2475 Sijui nimejibu sahihi mdau Morphine?

Kama nipo sahihi basi naomba soln yake kama unaijua.

Asante!

uko sahihi, utanisamehe kwa kuzidi kukuuliza maswali maana hata kwa daktari ukifika anahitaji kukuuliza mengi kabla hajafikia uamuzi wa kukwambia linalokusibu.

Unaposema haitoi jina inatoa number peke yake naomba ufafanuzi kidogo au jaribu kufuatilia hili, mfano umesave no ya John 0713800800 alafu akikupigia John haliji jina inakuja no peke yake ila ikiwa na Tz country code +255. Je unapataka kitu kama hiki?

Pia nahisi umeupdate OS from Version 5 to Version 6 precisely bb curve 9300 by default came with OS 5, kama kweli basi itakupasa kurudi Version 5 kwa muda mpaka utakaposikia OS 6 bundle ya mbele zaidi inaweza kua inafix hilo tatizo.

Cheers!
 
young prof

Member
Sep 20, 2012
37
95

Mkuu Morphine jibu zuri,haya ndo matumizi mazuri ya JF
 
Retreat

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
228
225
uko sahihi, utanisamehe kwa kuzidi kukuuliza maswali maana hata kwa daktari ukifika anahitaji kukuuliza mengi kabla hajafikia uamuzi wa kukwambia linalokusibu.

Unaposema haitoi jina inatoa number peke yake naomba ufafanuzi kidogo au jaribu kufuatilia hili, mfano umesave no ya John 0713800800 alafu akikupigia John haliji jina inakuja no peke yake ila ikiwa na Tz country code +255. Je unapataka kitu kama hiki?Pia nahisi umeupdate OS from Version 5 to Version 6 precisely bb curve 9300 by default came with OS 5, kama kweli basi itakupasa kurudi Version 5 kwa muda mpaka utakaposikia OS 6 bundle ya mbele zaidi inaweza kua inafix hilo tatizo.

Cheers!

Thanx Morphine, ni kweli kama ulivyonesha mfano wako hapo juu ila tu haiweki hiyo country code (+255). Sikumbuki kama niliupdate OS ya hii BB, labda kama ilifanyika Automatically bila concern yangu au nilifanya bila kujua. Sasa kama ni hivyo narudije Version 5?
 
morphine

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
3,363
2,000
Thanx Morphine, ni kweli kama ulivyonesha mfano wako hapo juu ila tu haiweki hiyo country code (+255). Sikumbuki kama niliupdate OS ya hii BB, labda kama ilifanyika Automatically bila concern yangu au nilifanya bila kujua. Sasa kama ni hivyo narudije Version 5?

fungua hii link https://swdownloads.blackberry.com/Downloads/entry.do?code=577BCC914F9E55D5E4E4F82F9F00E7D4

fuata maelekezo kisha mwisho utapata-option ya kudownload OS 5 na nyingine za Version ya juu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom