Nokia e71

Nokia e71

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
2,193
Reaction score
1,441
simu yangu ni Nokia E71. ni wiki ya pili sasa inakataa kufungua facebook na e-mail yangu ya gmail. Yaani nafika hadi kwenye password na zikishafunguka tu, cursor haisogee na wala hakuna command inayokubali zaidi ya ku-exit. Tatizo laweza kuwa ni nini? Solution yake?
 
hujasema unatumia nini kuingia kwenye hio facebook, browser ya simu au app yao ya fb then kama ni browser pia uitaje borwser gan.

Solution jaribu kudelete app/browser na uinstall upya
 
Back
Top Bottom