Ningependa Kujua.

Ningependa Kujua.

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Habari za siku nyingi wadau, ningependa kujua maana halisi na kirefu cha neno SOS ambayo nimekua nikikutana nayo pale network ya simu inakua haipo katika eneo husika..... Ahante
 
Save our Ship..or Save our soul..means emergency for help! kwa ajili ya kuokoa
 
Habari za siku nyingi wadau, ningependa kujua maana halisi na kirefu cha neno SOS ambayo nimekua nikikutana nayo pale network ya simu inakua haipo katika eneo husika..... Ahante
Stop Other Signals
 
Habari za siku nyingi wadau, ningependa kujua maana halisi na kirefu cha neno SOS ambayo nimekua nikikutana nayo pale network ya simu inakua haipo katika eneo husika..... Ahante
HIVI UNAJUA MAANA Y google wewe umeshindwa kugoogle mpaka uanzishe thread??????????????acha uvivu
 
Habari za siku nyingi wadau, ningependa kujua maana halisi na kirefu cha neno SOS ambayo nimekua nikikutana nayo pale network ya simu inakua haipo katika eneo husika..... Ahante

120716-gf.jpg
Hahaha umenikumbusha enzi zile kipindi napenda saana nyimbo za kizungu. GREATEST HITS ABBA GOLD ilikuwa na wimbo ulioitwa SOS
 
Back
Top Bottom