Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,279
- 44,416
jina la simu inaitwa huawei 4africa kama upo familliar na huawei w1 then ni simu ile ile ila hii ipo pre bundled na apps zilizotengenezwa na waafrica.
kama kawaida katika nchi zooote iliyo karibu yetu ni kenya ndo itazinduliwa nchi nyengine ni kama south na wanigeria.
Bei sjaona sehemu wakitaja ila hii simu ni kama 350,000 hadi 400,000 so kama mitandao wataichukua na kuisubsidize then zitafika 250,000 hadi 300,000
nnachopenda windows phone hawana simu ndogo kwa specs japo bei ni ndogo hii simu ina 4g ya internal storage inasuport memory card 4gb latest s4 processor 1.2ghz dual core, ram ni 512mb. Hizi simu hazina fm radio lakini zina hardware zake so expect kuwemo hapo futureeeeeee.
Itakua kwenye rangi zi blue white black na red (simu yenyewe hio apo juu kwenye picha). Pia hizo apps za kiafrica hawajazitaja hope baadae zitatajwa.