Mavella JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 459 Reaction score 76 Feb 17, 2013 #1 Nina shida na waya wa RS 232 Female to Female nitapata maeneo gani kwa dar na inaweza kuwa bei gani.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,029 Reaction score 22,567 Feb 17, 2013 #2 nenda posta nyuma ya bilicanas ulizia KVD. 0222123035
KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Feb 17, 2013 #3 Mavella said: Nina shida na waya wa RS 232 Female to Female nitapata maeneo gani kwa dar na inaweza kuwa bei gani. Click to expand... Nilikwishawahi kuununua kwa ajili ya kuflashia risiva bei yake haizidi sh 15elfu
Mavella said: Nina shida na waya wa RS 232 Female to Female nitapata maeneo gani kwa dar na inaweza kuwa bei gani. Click to expand... Nilikwishawahi kuununua kwa ajili ya kuflashia risiva bei yake haizidi sh 15elfu
Mavella JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 459 Reaction score 76 Feb 17, 2013 Thread starter #4 KIBURUDISHO said: Nilikwishawahi kuununua kwa ajili ya kuflashia risiva bei yake haizidi sh 15elfu Click to expand... namimi shida yangu ni kuflashi resiva yangu strong srt 4663x imekufa baada ya kuingiza software ukiiwasha inakuja kama inawaka alafu inazima
KIBURUDISHO said: Nilikwishawahi kuununua kwa ajili ya kuflashia risiva bei yake haizidi sh 15elfu Click to expand... namimi shida yangu ni kuflashi resiva yangu strong srt 4663x imekufa baada ya kuingiza software ukiiwasha inakuja kama inawaka alafu inazima