kimpe
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 910
- 862
kale ka free internet mlikonipa kwa siku saba kamenipa mambo mengi makubwa nshashusha gb zisizopungua 15 kweli kazi ilikuwa ni kwangu................ swali ni je nikinunua kwa pesa yangu speed itakuwa ndo ileili au magumash ndo yataanza mana 15000 paref usawa huu