Kati ya Microsoft Access 2003 na 2007 ni ipi inayofanya vizuri katika Database

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,505
Reaction score
649
Mi nina Access 2007 wala sijawahi kutumia 2003 ila kuna jamaa aliniambia eti 2003 inafanya mambo ambayo 2007 haiwezi je hii ni kweli?
 
2007 ina automatic data type detection 2003 haina.

2007 ina sharepoint services support, 2003 haina.

2007 ina real-time report wizard, 2003 haina.

2007 unaweza ku- save reports To PDF, 2003 huwezi.

2007 ina Microsoft Project .ADP support, 2003 haina.

2007 ina multivaalue and attachment fields, 2003 haina.

2007 unaweza ku access and use information from multiple data sources, 2003 huwezi.

Lakini pamoja na hayo yote sijawahi kuipenda 2007, labda 2010 kidogo, but I am happy with 2003.
 
Ahsante mkuu ila hapa sasa ni kuchanganyikiwa manake 2007 sifa kibao, 2003 nothing sasa si ungenionyesha ninini kinachofanya uipende 2003 au kama vipi uniambie kama 2003 inafanana fanana na 2010 manake kuDowngrade huwaga naona uchungu sana
 
Filters za 2003 ni nyingi na rahisi kutumia.
 
Ahsante mkuu ila hapa sasa ni kuchanganyikiwa manake 2007 sifa kibao, 2003 nothing sasa si ungenionyesha ninini kinachofanya uipende 2003 au kama vipi uniambie kama 2003 inafanana fanana na 2010 manake kuDowngrade huwaga naona uchungu sana

Binafsi naipenda zaidi 2003 kwa sababu nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu.

Si unajua tena kitu ni mazoea? Naona kama ipo simple zaidi kuliko 2007.

2010 inafanana zaidi na 2007. Tofauti 2010 ina some extra features ambazo wengi hawatumii.

Kama una 2010 ni bora ku-upgrade badala ya ku-downgrade. Najaribu kuizoea 2010.

You never know, itafika wakati Microsoft wataacha kutoa security updates za 2003 kama watakavyoacha kwa Windows XP.
 
Ahsante mkuu sasa inabidi nianze kusaka 2010 au ile 365 nione mambo yataendaje
 
Back
Top Bottom