Microsoft yazindua Windows 7 katika Kiswahili

MkenyaMzalendo

Senior Member
Sep 12, 2010
171
16
NAIROBI, Feb 17 (BERNAMA-NNN-KBC) -- Software giant Microsoft has launched its latest Windows 7 operating system in Kiswahili in a move intended to allow more than 150 million Swahili speakers in Kenya and other parts of Africa to access a broader range of its software programmes.

The Windows 7 Kiswahili interface pack is available online for free, said Luis Otieno, Microsoft General Manager for East and Southern Africa, here Wednesday.

"Over 150 million Swahili speakers in Africa will now have access to technology in a language they understand better. This is a step towards maintaining the linguistic diversity of the world's people."

The Director of Kenya Institute of Education, Lydia Nzomo, said Windows 7 in Kiswahili would offer children access to technology in a language they understand and this would help them learn computers faster.

Microsoft is also planning to launch its Office 10 commercial suite of applications in Swahili soon.

Microsoft Launches Swahili Language Windows 7
 
kampuni ya Microsoft imeona umuhimu wa Kishwahili lakini bado sisi waswahili wenyewe tunaona asiyejua Kiswahili hajasoma inakuwaje??Tuache kasumba, wakati umefika kwa Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia shule za upili pamoja na vyuo/vyuo vikuu. Wachina, Wajapan, Wajerumani, Wafaransa na wengineo wameendelea kitekinolojia na kiuchumi mbona mawatumii Kiingereza?? matumizi ya lugha ya mama mwanafunzi anaelewa zaidi kuliko kutumia lugha nyingine. Tubadilike.

Kiputiputi keep it up...
 
I wonder why Microsoft chose the launching to be in Kenya! Isn't Tz where Swahili dwell? :) Anyway with all troubles of umeme, mabomu, noti feki, mafuriko etc. they can go ahead and launch more swahili stuffs even in Burundi and South Sudan.
 
I like it, Keep it Up Majirani,, angalau itafika siku mtatufanya na sisi Majirani zenu wapendwa tutembee kifua mbele kwa jitihada zenu,,,
God Bless Kenyans initiatives, make it a Great success..
 
I wonder why Microsoft chose the launching to be in Kenya! Isn't Tz where Swahili dwell? :) Anyway with all troubles of umeme, mabomu, noti feki, mafuriko etc. they can go ahead and launch more swahili stuffs even in Burundi and South Sudan.

Hehehe. Its probably because the translators were based there. By the way, I have also seen people from Tz criticizing Facebook (swahili version) and Swahili Gmail eti kuwa kiswahili kinachotumiwa kwa mitandao hio ni cha kiKenya. Labda jambo muhimu ni kuwa na taasisi inayosimamia lugha katika nchi zote za Afrika mashariki ili ku-standardize Swahili.

I am sure we will hear of similar complaints from Windows 7. But I think its a good start. I am not sure i works with Office 2007 so I will probably not download it at the moment
 
teh teh teh!! Wabongo bwana ngoja tusafirie nyota ya wenzetu kwanza kitaeleweka mbela ya safari ikiwezekana itachakachuliwa hiyohiyo kwani kisichowezekana ni nini hapa!!.
 
we hata kama wata-launch hiyo swahili version ya window 7 kwa matumizi ya kiswahili bado sana na kwa ufupi tu haiwezekani.
Hata nchi hizo unazozisema kama China n.k ni kweli wameendelea na wanatumia lugha yao,lakini ukweli ni kwamba hata hao wanasomaKiingereza tena kwa nguvu sana siku hizi,kumekuwa ni Lazima kwa kusoma English kuanzia primary hadi High school.
Na Familia nyingi siku hizi wanaanza kusoma English tangu Nurseries tena kwa nguvu sana.
Ukiangalia wanafunzi vyuoni, vyuo vingi vinafundishwa kwa kichina wa wachina, lakini Post-graduate nyingi esp. za science,medicine .et.c wanatuia kiingereza hata maaandalizi yao ya thesis vyuo vingine ni lazima kwa kiingereza.
Hapa ni nanchotaka kusema sio kwamba nakidharau Kiswahili..la hasha..ila ni uhalisia wake wa kufundishia kwani kuna misamiati mingi sana ambayo hat haijulikani kwa kiswahili ni nini.
Pili most of knowledge are stored in Englsih Language ,ndio maana hat wachina wanasoma English kwa nguvu sana ili kuweza kupata hiyo knowledge iliyohifadhiwa kwa kiingereza.
Tutataka kiswahili, je teaching material sipo?? zinatosha ??
Kama shule za primary tu vifaa vya kufundishia bado havitoshi, sembuse na chuoni?
kampuni ya Microsoft imeona umuhimu wa Kishwahili lakini bado sisi waswahili wenyewe tunaona asiyejua Kiswahili hajasoma inakuwaje??Tuache kasumba, wakati umefika kwa Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia shule za upili pamoja na vyuo/vyuo vikuu. Wachina, Wajapan, Wajerumani, Wafaransa na wengineo wameendelea kitekinolojia na kiuchumi mbona mawatumii Kiingereza?? matumizi ya lugha ya mama mwanafunzi anaelewa zaidi kuliko kutumia lugha nyingine. Tubadilike.

Kiputiputi keep it up...
 
I wonder why Microsoft chose the launching to be in Kenya! Isn't Tz where Swahili dwell? :) Anyway with all troubles of umeme, mabomu, noti feki, mafuriko etc. they can go ahead and launch more swahili stuffs even in Burundi and South Sudan.
kwa sababu unatumia kingereza.......
 
Tanzania tumelala ndiyo maana Google walikuja kuanzisha google tanzania serikali ikalewa usanii!! gogle wakaipeleka kenya!Ndiyo maana kiswahili cha google ni kiswahili kibovu hivyohivyo hata hiyo microsoft itakuwa mbofumbofu hambayo haipeleki kiswahili chetu nje yamipaka!!Utasikia wavuti??!!Nini wavuti??Ni tovuti sasa vitu kama hivyo vinakinyima frusa kiswahili chetu hadhimu!
 
Tunashukuru kwa kuwa kiswahili kimepiga hatua nyingine,lakini bado utamaduni wetu na hali yetu ya kiuchumi itatuwia vigumu sana kuitumia hiyo OS kwa kuwa tutahitaji kuinunua kwa mamia ya dola kitu ambacho ni kigumu kwa mswahili.kwani asilimia zaidi ya hamsini wanatumia pirated copies,na hapo ndipo Microsoft watakapojua ukweli,unless watoe msaada hiyo win 7 ya kiswahili !
 
kwa sababu unatumia kingereza.......

Nataka hao jamaa wa Microsoft wapate ujumbe bila chenga! Sina uhakika kama wanachungulia JF lakini kupitia search engines wanaweza kukutana na huu ujumbe! Jaribu ku-google utaikuta hii post imesimama wima.
 
kampuni ya Microsoft imeona umuhimu wa Kishwahili lakini bado sisi waswahili wenyewe tunaona asiyejua Kiswahili hajasoma inakuwaje??Tuache kasumba, wakati umefika kwa Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia shule za upili pamoja na vyuo/vyuo vikuu. Wachina, Wajapan, Wajerumani, Wafaransa na wengineo wameendelea kitekinolojia na kiuchumi mbona mawatumii Kiingereza?? matumizi ya lugha ya mama mwanafunzi anaelewa zaidi kuliko kutumia lugha nyingine. Tubadilike.

Kiputiputi keep it up...

The answer is in your comment. Just look at the countries you have mentioned to have developed by using their own language and you will have your answer.
 
Tunashukuru kwa kuwa kiswahili kimepiga hatua nyingine,lakini bado utamaduni wetu na hali yetu ya kiuchumi itatuwia vigumu sana kuitumia hiyo OS kwa kuwa tutahitaji kuinunua kwa mamia ya dola kitu ambacho ni kigumu kwa mswahili.kwani asilimia zaidi ya hamsini wanatumia pirated copies,na hapo ndipo Microsoft watakapojua ukweli,unless watoe msaada hiyo win 7 ya kiswahili !

I thought they said it will be available free of charge!!
 
Heads Up!: Itakuwa na kiswahili cha Kenya si Tanzania! (Mfano neno "Mkanda" litakuwa "Mshipi", nk). Bahati mbaya kwenye opportunity wakenya wana own kiswahili kama chao na pasipo na opportunity wanajifanya hawajui Kiswahili.
 
Watu kama wewe hunishangaza sana. If you are unhappy about the Swahili version used for the OS, you can approach Microsoft and let them know that there needs to be a Tanzanian Swahili version instead of just whining.
 
No. Sio whinning ni kuweka wazi attitude ya wakenya na with time tutafuta Opportunistic tendencies zao za kutaka ku dominate East Africa. Nikikutana na Wakenya huwa nawaeleza hili wazi wazi na hiyo software ilitoka vile vile nitatuma comments zangu kwa hao waliotengeneza. Suala la whinning haliko kwangu sababu nina uwezo wa kupeleka message ya mtazamo wangu across. Wakenya wanajua wazi Kiswahili chao si fasaha na hili wana admit. Kwa hiyo kukiwa na project kama hii na imekwenda kwao wanatakiwa kuwasiliana na taasisi za Kiswahili zilizoko Tanzania ili kutoa product nzuri.
 
Nadhani tatizo kubwa linalokumba jitihada za kueneza kiswahili ni uvumi baina ya waTz ambao hufikiria ya kwamba Kiswahili chao ndicho chapaswa kuigwa na wengine. This is as ridiculous as Americans telling the British to use the American English version na waache kusema tyres, lorries, boot, bitumen n.k. na waanze kutimia majina kama vile tires, trucks, trunk na asphalt. Si huo ni upumbavu?

Ukweli ni kuwa matumizi ya lugha yanalingana na muktadha ambao lugha inatumika na kutakuwa na tofauti ya msamiati unaotumiwa katika kiswahili chenu na cha huko Kenya. There are some words I have heard being used in your version that I have never heard in the Kenyan version (ok, most I get from Bongo flava songs. Mitungi, blanti mikasii--these are completely unknown in Kenya--although I suspect they are slang words).

Nadhani my point was that your first reaction should have been to celebrate that Microsoft appear to appreciate the importance of Swahili in this part of the world, which should be a good thing, no matter which version has been used. If anything, it means that it's actually possible to sell the idea to Microsoft of having some of your translators contribute to a TZ version iliyo na "Kiswahili fasaha"
 
Back
Top Bottom