Vodacom Songea mmelala sana, huku mtandao haupo tangu saa 11 usiku mtandaoumekata, na wala hakuna taarifa yoyote tunayopewa watumiaji. kama ni shida ya umeme huku umeme kwa sasa ni wa uhakika...
Hii moderm ina 0 attempts left,nitafanyaje ku reset hizi attempts ili niweze kui unlock..I have dc ****,I also have other apps to unlock..
Please help..
teh teh, usinshangae nakuwish sasahivi. hii naiona kama eve kwenye huu mji mpya wa Arusha.
baada ya kuwa mji, nimeona it is good to share baadhi ya software nilizonazo for mac, especially x86...
wakuu hali, kuna anayeumwa? Pole.
ok, then mi mzima, let us proceed.
below ni msururu wa all time favourite games ambazo sitakaa nichoke kuzicheza. (hizi sio lifetime games - tofauti na...
Naombeni mnisaidie kupata dstv bure please nakosa mechi za maana kama MAN vs Chelsea and anayejua a free vpn for iPAd niweze kufungua apps za uS
​
Experts please help me get drivers for the microphone and camera on my HP Pavilion dm4 Notebook. It says no drivers installed. Tried to search and instal failed several times, but am note an...
Wakubwa kila mtu akipost kitu katika facebook inakuja kwenye my inbox yangu kwenye email(yahoo) sitaki hiki kitu.
naomba kujua namna ya kuzuia hii kitu
Hi JF
Jamani kwenye pc yangu kila nikiplug memory stick inatengeneza subfolder yenye jina hapo juu....ikiwa na 780KB na delete lakini niki refresh.
Linarudi tena...na kwa sasa registry yangu...
wana jf kilio chenu kimesikika kampuni ya google imezindua 3g nexus 7 yenye 32gb kwa dola 299, wasiwasi wangu sijui hapa bongo itauzwaje. siunajua tena!!!!!
Wakuu naombeni msaada wakujaza wino kwenye coloured catridge ya hp officejet..rangi zote tatu ninazo,sindano ninazo..tatizo sijajua ni rangi ipi iwekwe kwenye kitundu kipi na kwa kiasi...
Amani kwa wote wanajamii.Samahani naomba msaada.Simu yangu ni Lg 990i Waptrick nikiweka inazima halafu inawaka maana ingine haikubali.Sasa nilikuwa naomba kama kuna website ingine inayoweza...
Sup People,
Nimesikia kwamba unaweza kucheza Ps2 games bila Cds then ukatumia flash drives.
So I just wanted to verify how correct is that info.
If correct, could someone teach me the process ok...
Mambo vipi wakubwa, hope michakato inaendelea kama kawaida.
Nimetengeneza forum site kwa ajili ya mobile phones discussions, na matarajio yangu ni kuwa na audience sehem mbali mbali duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.