Vodacom Songea mtandao hakuna jamani shughuli haziendi

Vodacom Songea mtandao hakuna jamani shughuli haziendi

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,763
Reaction score
819
[h=5]Vodacom Songea mmelala sana, huku mtandao haupo tangu saa 11 usiku mtandaoumekata, na wala hakuna taarifa yoyote tunayopewa watumiaji. kama ni shida ya umeme huku umeme kwa sasa ni wa uhakika. Pia mkumbuke Songea kama si Ruvuma yote inawatumiji wengi zaidi wa Mtandao huu. Tunaomba mrudishe shughuli zetu haziendi coz hakuna mtandao na pia mjue Mpesa ndo inatumika zaidi kuliko hata bank sasa kukata mtandao bila taarifa yoyote ni kudumaza uchumi. hili ni tatizo limekuwa ni sugu sana hapa Songea tunaomba mrudishe mtandao. Siamini kama manafilisika coz naamini huu ni mtandao ambao ni imara zaidi kuliko mitandao mingine coz hamjabadili jina tangu muingie Tanzania.[/h]
 
bora ww aisee tanga lushoto tuna miezi 2 yaaniukitaka kuongea utafute mlima,sijui hawajamaahawatabui hilo? Airtel safi!
 
Hamia Airtel nasikia ata mbeya wanalalamika naona voda wamezidiwa wateja
 
Ngoja tuanze kuhama mdogo mdogo, lakini hisa zetu za fedha zilizo kwenye simu zetu itakuwaje, tutamdai nani jamani naona harufu ya kuibiwa hapa.
 
Back
Top Bottom