Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 343
Hi JF
Jamani kwenye pc yangu kila nikiplug memory stick inatengeneza subfolder yenye jina hapo juu....ikiwa na 780KB na delete lakini niki refresh.
Linarudi tena...na kwa sasa registry yangu inasumbua kila niki long iniambia haipati this file rundll.exe that mean registry imeharibiwa.
Nafanyaje ku rectify this problem?
Next kuna trojan namuona ana kuwa detected na Kaspersky...inamaana akiwa detected kila napo scan computer anafutwa au nimbishi wa kutoka?Nimeanza kumuona baada ku install Adobe V.9 pro...
Please some help.
Buswelu.