Soma hapa tafadhalii..please

dodoso33

Member
Oct 9, 2012
38
11
naomba msahada wenu nina laptop mpya aina ya dell ambayo tatizo kubwa nipo sehemu kuna wireless lakini inakataa kudetect kama kuna wireless
 
dell aina gani? je ina wireless card? kama inayo drivers zipo? kama zipo ume swithch on hiyo wireless?
 
una switch vipi wireless! Kuhusu wireless card ipo! Natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom