Naombeni msaada. wa ku unlock moderm ys tgo e153u-1 stick

Naombeni msaada. wa ku unlock moderm ys tgo e153u-1 stick

cheeter

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
475
Reaction score
155
Hii moderm ina 0 attempts left,nitafanyaje ku reset hizi attempts ili niweze kui unlock..I have dc ****,I also have other apps to unlock..
Please help..
 
Hii moderm ina 0 attempts left,nitafanyaje ku reset hizi attempts ili niweze kui unlock..I have dc ****,I also have other apps to unlock..
Please help..
IKIWA IMEFIKIA HIVYO, MODEM HAIWEZI TENA KUKUOMBA UNLOCK CODE, INAMAANISHA ILIKUWA INAOMBA UNLOCK IKAINGIZWA CODE KIMAKOSA ZAIDI YA MARA 10. OK SO ISSUE
NINI UFANYE ,UNATAKIWA UWE NA SOFTWARE INAYOITWA Huawei-Modem-Unlockerv5.8.1. KWA AJILI YA KUFANYA RESET YA COUNTER BLOCK kabla ya kuwa broked parmanent. link hii hapa chini (HIGH LIGH COPY &PASTE KWE ADDRES BAR) ENTER
Huawei-Modem-Unlockerv5.8.1.rar
KUMBUKA* SOFTWARE HII SUPPORTED NA WINDOWS7. KWA WINDOWS XP LAZIMA UINSTALL NET FRAME 3.5 OU VERSION.4VINGINEVYO KIMEO
ukimaliza kuidownload ifungue wakati umesha connect modem yako. modem yako ita detect na software yake .i close bonyeza button iliyoandikwa refresh kwenye huawei unlocker, alafu chagua com port. then read button ikimaliza kuread information za modem select reset counter then service button. hapo modem yako itakuwa reset to 10.
kifuatacho fungua DC CRAAP VER 460 CRACKED NDIO KIBOKO. DETRCT MODEM YAKO THEN UNLOCK NOW YOU ARE FREE.
 
tunaomba ulete majibu ukifanikiwa na usipo fanikiwa mana hizi e153 haziko permanent unlock ni temporary unlock
 
Back
Top Bottom