Kuzuia Notification za facebook zisiingie kwenye Email yangu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuzuia Notification za facebook zisiingie kwenye Email yangu!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by qq.com, Oct 31, 2012.

 1. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakubwa kila mtu akipost kitu katika facebook inakuja kwenye my inbox yangu kwenye email(yahoo) sitaki hiki kitu.
  naomba kujua namna ya kuzuia hii kitu
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  fungua e mail moja kati ya hizo ambazo umetumiwa ..then chini ya ile e mail utakuta kuna sehemu kumeandikwa unscribe..then i click..kama umeshindwa ni pm e mail yako na password
   
 3. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  unscribe- nimefanya mara kibao bila mafanikio.na kukutumia email na pass nafikiri unatania mkuu
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mie pia naface hlo tatizo msaada plz
   
 5. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,270
  Likes Received: 4,245
  Trophy Points: 280
  Log In into Facebook>Select Account Settings>Select Notification thenchagua notification ambazo hutaki zije kwenye email yako then save
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  It is simple Fungua email nyingine tofauti na ya sasahivi, nenda kwenye settings Select Account Settings>Select Notification weka email mpya uliyotengeneza, all notification zitakuwa zinaenda kwenye hiyo email mpya
  maana utakuwa unaifungua kama unatakuwa na tatizo call me :A S 100:
   
Loading...