Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wanajamii wenzangu, nahitaji TV MOBILE APPS FOR ANDROID zenye CHANNELS za TANZANIA kama zipo, natumia TECNO N3. ADA YA MJA HUNENA, MUUNGWANA NI VITENDO.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najua wapo wanaofahamu ila kwa wale wasiojua hii ni changamoto sana..kuingiza yahoo settings kwenye outlook ili uweze kupokea email zako na kuzisoma hata ukiwa ofline. Kwa account zingine zaidi ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
APR 5 Gajetek Wiki (Habari Za Wiki Kwa Ufupi) Habari za Wiki Kwa Ufupi Karibuni katika ukurasa mpya wa Gajetek Wiki, ukurasa ambao utakuwa unawaletea habari za wiki kuhusu gajeti na teknolojia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi mnasomaga hizi??? Mnaona jamaa walivyokosa mapesa!! soma chini hapo A software company buried a $1,000 prize deep in its Terms of Service to see if anyone actually read them. After 5 months...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
april fools day guys ha ha
1 Reactions
26 Replies
5K Views
How To Bypass (Reset) Administrator Password Windows 7 Using Disk Or USB Flash Drive I get many questions from my friends about how to bypass or reset administrator password in Windows 7...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Sometimes, for some reason you wish that other people do not know the history of your browser. You can set up your browser to automatically clear your history when you close the browser window...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
WinToFlash Guide - Install Windows XP From USB Flash Drive Anonymous in this post (Install Windows XP using USB Flash Disk/ Flash Drive - Step by Step Guide) wrote a comment about...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomba msaada WanaJf kwa mwenye kujua juu ya cm hii HTC Desire A8181 imekuwa na tatizo la jina kujirudiarudia. Mfano. John basi linajirudia kama mara 5 hv n.k. mwenye ufahamu tafadhali knoweledge...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Facebook wametangaza kitu kipya kwa simu za Android walichokipa jina la Home. Kwa muda mrefu kulikuwa na uvumi kuwa Facebook wanajiandaa kuja na simu yao mpya na hata siku za karibuni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau ninashida na key za youwave
0 Reactions
1 Replies
753 Views
Wadau nimepiga hyo window 8 ila kuiactivate imekuwa mziki maana cna Activation keys zake na window nmeipata online sasa hapa tusaidiane wakuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
First thing the hacker does is to know the system. Then check the version and finally sees if there is any known hole in that version and uses that and if not he finds one. So If you use Joomla...
0 Reactions
4 Replies
774 Views
kwa anayejua vyuo vinavyootoa certification ya CISA msaada tafadhari.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wanaJF ,Kwa wale wanaofaham, natumia simu ya nokia 2330c 2B, kwa internet tatizo ni kwamba, opera mini niliyokuwa natumia inasumbua sana hususan katika kuapload pictures facebook, na...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
wadau, nimetafuta weee whatsapp kwa ajili ya nokia asha 305 lakini sijaipata, sitaki kuamini kuwa haipo maana kuna mtu nilimuona nayo na ana simu inafanana na hii, ombi langu kwenu kama kuna...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wapi inapatika hii simu Htc dual SIM desire SV hapa Dar es salaam?
0 Reactions
4 Replies
920 Views
Picha, music, documents zipo kwenye cm lakini sizioni. Nikiconect kwenye pc naona shortcuts zake na nikifungua naziona. Ila kwenye simu hazionekan kabisa!! Msaada pls
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Heshima wakuu Naomba mwenye maujanja hayo anisaidie namna ya kununua paid application
0 Reactions
4 Replies
949 Views
Naombeni msaada waungwana namna ya kurudisha software ya webcam katika minilaptop yangu ya samsung N150 plus. Mwanzo nilikuwa nikitumia cyberlink youcam kwenye windows 7. Niliondoa wimdows 7...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom