Kabang... Hakuna loloteee

Kabang... Hakuna loloteee

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Tigo Hakuna kitu.. Leo nimejiunga na hiyo kabang yao tangu asubuhi nimejikuta naambulia dakika za maongezi tu... mpaka sasa wanagongana manano tu nikipiga...

Sasa hapa nawaza hivi hata ikitokea nikaanza kupata hiyo internet ... spidi itakuwaje?
 
mimi nafikiri labda tatizo lipo kwenye simu yako....mimi nimejiunga toka juzi yaani ni poa sana....nimeshaangalia movie online zaidi ya 5 na mpka sasa speed ya kutosha hakuna kukwama kwama wala nini hapa sasa hivi naangalia THE HOBBIT yaani ni noma KAABANG!!
 
arif... nikijiunga na pack nyingine natumia fresh kabisa... Tigo wenyewe wamenithibitishia uwepo wa tatizo kwao
 
Huduma ya Kabang ina tatizo since juzi hadi leo hawajalipatia ufumbuzi.. ukipiga tigo wanasema uwe na subira.. kinachotokea ukijiunga unapata muda wa maongezi lkn internet hupati. Kama una credit kwenye cm inakula kwako coz ukibrowse inaliwa credit badala ya bundle ya kabang..
 
hivi kuna watu huwa wanatumia internet ya tigo kabisaaa....!!!?? mi katika zaidi ya mara 50 nilizojaribu kutumia internet ya tigo ni kama mara moja tu ndo angalau nilifanikiwa kuload page ya google tena baada ya kusubiri kama dakika 2 nzima hivi.....tigo mi nawasifu kwa kupiga simu tu...ila net...mmmhhh:nono::nono::nono:..
 
Tigo Hakuna kitu.. Leo nimejiunga na hiyo kabang yao tangu asubuhi nimejikuta naambulia dakika za maongezi tu... mpaka sasa wanagongana manano tu nikipiga...

Sasa hapa nawaza hivi hata ikitokea nikaanza kupata hiyo internet ... spidi itakuwaje?
Nimejiunga tokea jumapili jioni wakanipa SMS

(KABANG
You have successfully activated kabang data package. It will expire on Mar 16 2013 -3:53PM)

Imagine mpaka Leo kila siku niko MlimaniCity Kiswahili kipya..ukipiga cm Huduma Kwa wateja ndio hawana Cha kukusaidia .. Halafu Mamlaka ya Mawasiliano yamebuna tu wananchi tunaibiwa, mie Sijui tunaongozwa Na watu gani????.. Hadi FUJO izuke ndipo wahusika wanaamka, pale MlimaniCity walinambia takriban watu 230 wapo Kwenye matatizo hayo Na idadi inaongezeka nao SULUHU hawana

Kufurushi hiki hawajakirekebisha wameleta Cha 25,000 Kwa mwezi Sijui kama wana Akili sawasawa
 
Tigo Hakuna kitu.. Leo nimejiunga na hiyo kabang yao tangu asubuhi nimejikuta naambulia dakika za maongezi tu... mpaka sasa wanagongana manano tu nikipiga...

Sasa hapa nawaza hivi hata ikitokea nikaanza kupata hiyo internet ... spidi itakuwaje?

kwa nini wanasumbua hivi hawajui mashindano nini..
 
hivi kuna watu huwa wanatumia internet ya tigo kabisaaa....!!!?? mi katika zaidi ya mara 50 nilizojaribu kutumia internet ya tigo ni kama mara moja tu ndo angalau nilifanikiwa kuload page ya google tena baada ya kusubiri kama dakika 2 nzima hivi.....tigo mi nawasifu kwa kupiga simu tu...ila net...mmmhhh:nono::nono::nono:..

Kumbe tupo wengi ehhh.........tigo huwa siwaelewi...naona magumashi sana......na promo za ajabu
 
mie na haya mambo wala sihangaiki nayo kabisa!!!
 
Ila mi siwalaumu Tigo..sababu kwa nini mtu ujiunge bila kufanya utafiti?? Internet ya tigo kila siku watu wanailalamikia na watu haohao bado wanazidi kujiunga kwa kununua package..si tuache tu kununua..wakikosa watumiaji watajirekebisha..
 
Kwa sasa natumia hiyohiyo kabang ya tigo ila iko slow sana labda watabadilisha tusubiri tuone
 
hawa jamaa ni wezi naomba mfuatilie kwa karibu salio kwenye simu zenu, mimi nimejiunga nikaacha salio kiasi fulani baada ya siku tatu nikaangalia salio sikukuta kitu nimewasiliana nao wananizingua tu hamna lolote
 
Dah. Jamaa leo nimewafuata ofisini, na wameua laini yangu kabisa. Eti wanadai ooh simu yako ilikuwa haina configuration ... Mara laini mbovu. . Mi nimewakaba wanirudishie pesa tu huduma basi
 
Kwa sasa natumia hiyohiyo kabang ya tigo ila iko slow sana labda watabadilisha tusubiri tuone

arif, mimi leo walinupa asubuhi ikawa mwendo wa kobe. Nikamaindi nimeenda wameua na laini kabisa
 
Hapo mwisho ongezea SANAAA! kuwashauri tu..wabadilishe tangazo lao.

Jamani tuongee ukweli lini tiGo walikuja na tangazo zuri? kidogo wakati Twissa yupo tigo walijaribu jaribu kuboresha matangazo yao kumbuka lile la Mmasai na mbuzi
 
uzuri wa tangazo ni ujumbe uliomo.. . Wanasema mengi ambayo hawawezi yatekeleza
 
arif, mimi leo walinupa asubuhi ikawa mwendo wa kobe. Nikamaindi nimeenda wameua na laini kabisa

Kuna wakati inakua poa na kuna wakati inasumbua. Ni muda nilikua naangalia movie baada ya movie ya kwanaza kuisha ile naingia ya pili tu ngoma imedorora
 
Back
Top Bottom