'Islamic smart phone' launched | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Islamic smart phone' launched

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Shakazulu, Dec 5, 2011.

 1. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  An Indian company has launched an 'Islamic smart phone', featuring a full copy of the Koran, a GPS application which points to Mecca and a calculator for Zakaat charitable donations. According to the 'Islamic' mobile's creators Muslims are under-represented among the growing ranks of Indian mobile phone users, but they believe their new phone will bring them into the digital world.

  Source: The Telegraph.

  Mhhh! an interesting concept.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Hapo kina shehe moi wasiione hii post maana itakuwa balaa..:lol:
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  huna maneno ya kuzungumza Mkuu hapa ni mahali pa ( Tech, Gadgets & Science Forum) Sipo mahali pa Dini na imani mkuu hata wakiona haitosaidia kitu mkuu ondosha wasiwasi
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Si wangetengeneza tu app?
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hao nao wana mbwembwe mbona app kibao za dini zipo kwa platform mbalimbali tayari.
   
 6. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shukuriya...alhamdulillah
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Takbir!!!
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Nasubiri niione itakavyokuwa....
   
 9. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  quran,prayers time,qibla direction,compass,muslim calender etc vyote vipo kwenye ma-apple,symbian,windows na androids.so hamna jipya zaidi ya kuzidi kugawa na kudidimiza fikra za waislamu
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2013
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  wonderful creativity.ila njia nyingine ya kuwa control waislam na kuwafanya soko zuri.Sound like islamic communism is taking place.
  Iweje waislam wachache wawalimit wenzao vitu vya kuona ,kusikia na hata kujua.wakati wao wakati wana sensor vitu wanavifaidi in the name of studying them.
   
 11. N

  Nyasiro Verified User

  #11
  Apr 5, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Sijaona kipya kwani kuna apps kibao za namna hiyo nnachokiona hapo ni kuongeza matumizi mengi kwenye hayo ma simu badala ya kutumia huo muda kufanya ibada.
   
 12. Millah

  Millah JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2013
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukweli ni kwamba aliyetengeneza simu hii amechagua Uislamu kama marketing strategy yake. Lakini si kwamba haya mambo yahapatikani kwenye smartphone. Si Android wala iOS zote zina misahafu ya kila aina. Mpaka tafsiri ya Sh. Ali Muhsin A Barwani ya Kiswahili basi ipo kwenye Android.

  Kuna misahafu ya kusomea, ya kufanyia research, tafsiri karibu za lugha zote duniani (tafsiri kwa maana ya tarjuma) Pia vitabu vikubwa kama vile vya hadithi (Sahihi Muslim, Bukhari Ibn Majah na kadhalika) vyote vinapatikana. Tafsiri kubwa kama vile Tafsiri Ibn Kathir, Tafsiri At Tabari nazo pia zinapatikana. Vitabu na calculator za zaka zimejaa tele, na compass za kuonyesha qibla zipo chungu nzima, apps za adhana na nyakazi za sala zipo nyingi. Unachotaka utapata kuanzia

  Kwa hiyo kama nilivyosema awali huyu amechagua Uislamu kama marekting strategy yake, tunamuombea mafanikio, japokuwa hakuna jipya alilolileta
   
 13. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mbona mtawapata
   
 14. Millah

  Millah JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2013
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama unajua unachokiandika!
   
 15. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2013
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  mi nadhani hii ni marketing strategy, jamaa wameamua kutarget soko hilo maybe baada ya kustudy na kugundua wanalipa
   
 16. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2013
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280

  Mkuu hapo kwenye bold!! Samahani hebu nipe maujanja ya namna ya kui-access hiyo kitu,siunajua muhimu sana mkuu kazi na dawa. Natumia Galaxy tab 2, Nitashukuru sana mkuu wangu!!
   
 17. Kyenju

  Kyenju JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2013
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 4,573
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Wamekuja na mbinu mpya baada ya simu yao iitwayo Spice kukosa soko, kwa sasa naona soko watalipata kwa wingi.
   
 18. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2013
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Kipya gani ambacho watu mnakitaka hapo? Binafsi naona mtengenezaji alikua na wazo la kumerge ivyo vitu kwenye simu moja. Tofauti na mtu kuanza kudownload izo apps anazikuta tayari kwenye simu yake
   
 19. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2013
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Una jina ka la dem wangu mama
   
 20. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2013
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 444
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  dah safi sana hyo
   
Loading...