inategemea na pc yako ni aina gani.Kamata(bonyeza usiachie) Batani kwenye keyboard yako iliyoandikwa fn halafu bonyeza na batani iliyoandikwa prt sc,halafu unaachia zote au kwa maneno mengine unabonyeza hizo batani kwa pamoja.
Ukishafanya hivyo fungua paint na u paste huko then save ktk namna unayotaka.
Zingatia baadhi ya pc unabonyeza ctrl + prt sc au alt + prt sc
Sana wna mnasumbuka nini kama unatumia Window 7 na kwenda juu kuna application inaitwa sniping tool ipo ndani ya window utaweza kutumia iyo . Tembeleeni website yangu JCV TECH mweze pata mengi..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.