Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,417
watu wengi nafkiri mpo familia na whatsapp kua si bure bali unapewa trial ya mwaka mmoja then baada ya hapo unatakiwa kulipia 0.99usd kila mwaka. Hii hela si kubwa sema tatizo ni namna ya ulipaji kwa watu wengi inakua ngumu.
Mimi ni mtumiaji wa whatsapp mwaka wa 3 huu lakini trial yangu haiishi nilikua najiuliza maswali mengi sana why? Juz juz nika update whatsapp yangu ya symbian na kila nkiingia inanipa muda ulobakia ndipo nikagundua reason why trial yangu haiishi.
reason ni kwamba kila ukibadilisha line ya kutumia internet japo namba ya whatsapp inabaki vile vile lakini server za whatsapp zinachanganyikiwa na kukuongezea trial mwaka mzima.
hii imetokea kwangu jaribu na wewe kwako.
Change line kwenye simu yako ya watsapp verify namba ya zaman(sio mpya ya line) then angalia trial itaongezeka.
ombi tu mtu asije akaitafsiri kingereza hii thread maana itasababisha hii trick kua blocked