Jamani funguo za gari yangu (Hyundai)...!!!!!

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,668
Wadau habari zenu!!!

Nimepoteza funguo za gari yangu aina ya Hyundai, model ni Coupe, nina funguo za spea lkn haziwashi gari, zinafungua milango na boot tu! Naombeni msaada, wapi wanaweza kunichongea funguo nyingine bila kuwa na sample? Nasikia mjini hakuna linaloshindikana, mimi nipo Tanga...msaada pls
 
pole sana mkuu hapo kuna njia mbili!
1. Dar kuna sehemu wanachonga kwa laki 3,ila inabidi gari liwepo (key dump file lipo kwenye control box ya gari,nna inabidi fundi anyonye ilo file na kuli road kwenye funguo mpya)
2.fundi aje Tanga na kikufanyia onsite
pm me for more info
 
Nawashukuru sana wadau, ngoja nijaribu njia zote mbili mlizonishauri then nitawajulisha
 
Wadau habari zenu!!!

Nimepoteza funguo za gari yangu aina ya Hyundai, model ni Coupe, nina funguo za spea lkn haziwashi gari, zinafungua milango na boot tu! Naombeni msaada, wapi wanaweza kunichongea funguo nyingine bila kuwa na sample? Nasikia mjini hakuna linaloshindikana, mimi nipo Tanga...msaada pls
magari mengi ya sikuhizi yana kitu kinaitwa (security immobilizer system) hii inasaidia kuzuia wezi kuwasha na kuiba gari "hot wired" sababu inadisconnect fuel transmition kwenye engine usipochomeka funguo wake original wa gari. unaweza kutengeneza funguo wa spea (transponder key) na ukauprogram mwenyewe kupitia funguo wake original wa gari. huo ufunguo wa spea unatakiwa uwe na computer chip ndani ili kuruhusu kufanya transmission ya binary code kwenye engine control unit ya gari. funguo zetu za kawaida za kuchonga hazitawasha gari ila milango na trunk zitafungua. kama haukutengeneza transponder key na umepoteza master key ya gari lako basi ni lazima uwasiliane na dealer wa Hundai au utafute fundi mwenye handheld computer inayoweza kufuta data za funguo iliyopotea na kuFeed data ya ufunguo mpya atakao kutengenezea..
 
Brakelyn thanx pia, nimewasiliana na dealer kwa address aliyonipatia Kang hapo juu na wameniambia niwatumie Chasis no na nimeshawatumia, wameniambia kesho watanitumia ufunguo mwingine, ila wamenipa sababu kama zako kwamba ningechongesha ufunguo usingewasha gari.
 
That is why I love JF
 
Mpita Njia you are right, Jamii Forum is Great!
 
Hizi Funguo za kisasa huwa zina "chip" ndani yake. Nilikwenda kupiga copy funguo zangu za Honda Accord '06 baada ya kuuchonga niliwasha gari ikakataa! kumbe chip hiyo ndo imekosekana! ilibidi waihamishe(Kwani ufunguo ule ulikuwa umepasuka shell)
 
magari mengi ya sikuhizi yana kitu kinaitwa (security immobilizer system) hii inasaidia kuzuia wezi kuwasha na kuiba gari "hot wired" sababu inadisconnect fuel transmition kwenye engine usipochomeka funguo wake original wa gari. unaweza kutengeneza funguo wa spea (transponder key) na ukauprogram mwenyewe kupitia funguo wake original wa gari. huo ufunguo wa spea unatakiwa uwe na computer chip ndani ili kuruhusu kufanya transmission ya binary code kwenye engine control unit ya gari. funguo zetu za kawaida za kuchonga hazitawasha gari ila milango na trunk zitafungua. kama haukutengeneza transponder key na umepoteza master key ya gari lako basi ni lazima uwasiliane na dealer wa Hundai au utafute fundi mwenye handheld computer inayoweza kufuta data za funguo iliyopotea na kuFeed data ya ufunguo mpya atakao kutengenezea..

Saluti mkuu kwa maelezo yako.
 
Back
Top Bottom