haya majabu or?

haya majabu or?

Asu tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
336
Reaction score
86
habar wana JF? samahan wakuu natumia HP cha kushangaza leo nilipotoa betry ya laptop yng nimeona sehemu ya kuwekea line or sim card kwenye laptop sijajua hii line inatumika vp or kaz yake n nn? mwenye kujua anifahamishe wakuu.
 
Pia ata Dell,Compaq,Mercer,e.t.c zina port ya line

Line' inatumika ka modem' but ili iweze ku_run ka modem kuna program ambayo utai_download ili iweze ku_support' yenye drive za hiyo chip<

jina la hiyo program imetoka let me surf for you then i'l post back
 
dah nashukuru kwa mawazo yako mkuu.
 
mkuu nenda kwenye page ya laptop yako(google) utapata software zote za laptop yako kama ipo kweli hio software huko pia utaikuta.

Ukishindwa tuma aina ya pc full ntakusaidia hapa.
 
habar wana JF? samahan wakuu natumia HP cha kushangaza leo nilipotoa betry ya laptop yng nimeona sehemu ya kuwekea line or sim card kwenye laptop sijajua hii line inatumika vp or kaz yake n nn? mwenye kujua anifahamishe wakuu.
dah mkubwa yan kama mimi hapa natumia HP 2510p ina iyo kitu HDA CX11270 Softmodem ila maujuzi ya kuitumia ndo bado yan ila najaribu kudownload driver kwa link @//15.193.112.23/pub/softpaq/sp46001-46500/sp46035.exe
 
mkuu nenda kwenye page ya laptop yako(google) utapata software zote za laptop yako kama ipo kweli hio software huko pia utaikuta.

Ukishindwa tuma aina ya pc full ntakusaidia hapa.

nami pia natumia compaq 2510p msaada wako mkuu...
 
Kwanza ingia ktk device manager alafu modem angalia kama kuna hardware ipo installed maana nyingine huwa kuna sehemu lkn ndani hakuna hardware inayoweza kuwezesha kupata mawasiliano.
 
Mkuu imenizingua natumia compaq 6910p.
 
Back
Top Bottom