Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kampuni ya utengenezaji simu aina ya Iphone ya Apple yakubali yaishe, inatarajia kutangaza simu mpya wiki ijayo zenye charger za type C. Apple imekubali kufuata masharti ya umoja wa ulaya ambayo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata software yoyote ya kurecover deleted data kutoka kwenye computer?
0 Reactions
6 Replies
947 Views
Kila nik retweet na ku replay twits kwenye gage na followers wangu inakataa na kuandika can not retweet, mwenye kujua shida nini, naomba msaada
1 Reactions
3 Replies
649 Views
Naombeni tofauti kati ya hometeck tv na ailyons ipi ni imara na bora kwenye picha?
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Tcra na makampuni mbalimbali ya simu nchini Tanzania wameleta mfumo wa watu kufungiwa line zao ikiwa hawajazitumia kwa muda. Kumekua na tabia ya watu kusajili line mbalimbali Kisha kuziacha na...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚[emoji116] Whatsapp imetoa taarifa Kuna baadhi ya simu hazitaweza tena kupata au kutumia Whatsapp kuanzia octoba mwaka huu. Watumiaji kuanzia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
2 Reactions
2 Replies
376 Views
Habari wakuu, Simu yangu ni google pixel 5 kuanzia Jana mtu akinipigia inakata naomba msaada tafadhali maana nimeshaizima na kuiwasha pamoja na kuirestart bila mafanikio yoyote. Je hili tatizo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nataman kujifunza mambo ya animation.. Kma vile kutengeneza movie za kawaida za animation, au story-animation. Nmeinstall application ya Blender kwenye computer Naweza pata mtu wa kunishauri...
2 Reactions
2 Replies
596 Views
Msaada mwenye maujuzi ya kupata iyo software na keys zake
0 Reactions
4 Replies
809 Views
Nimeona sehemu mtu ameweka windows 10 lite toka torrent. Got me thinking of doing the same in my pc. Kuna mtu ameshawahi fanya hivyo? Kwa wataalamu kuna shida yeyote mtu akifanya hivyo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari ya muda huu wadau, Naomba kuuliza jambo. Kuna muda fulani TCRA walikuja na mpango wa one network kama nitakuwa sahihi na kumbukumbu zangu ziko sahihi ya kwamba namba yako ya simu ya sasa...
1 Reactions
6 Replies
444 Views
Wakuu habari, nisiwapotezee muda, nimekuja kuomba msaada nikijua fika humu ndani kuna wajuvi wengi wa mambo. Kwanza kabisa nimekosa kiswahili sahihi cha kutumia kwenye heading hapo juu hivyo...
0 Reactions
4 Replies
861 Views
Wezi sio watu wazuri, wamekata dirisha (grill) na kuondoka na Tv yangu, Kabla sijanunua nyingine nataka kujiridhisha ni kwa njia gani naweza kuiprotect TV yangu? kwenye hizi smart TV kuna jinsi...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Naombeni msaada natumia hp notebook 15 generation ya 6 je na weza kujua kama laptop yangu ina sim card slot au haina?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu kwa anaejua tushare ni software ipi ambayo inaweza ku unlock password katika simu za batan (itel, tecno)
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Makala hii itakusaidia kuweza kuondoa pattern ama password (nywila) uliyosahau katika simu yako (Android), zipo njia nyingi kutegemea na aina ya simu au toleo la Android ambalo simu yako inatumia...
4 Reactions
20 Replies
21K Views
Nina simu yangu ya batani Itel t5020, nimesahau Password yake, nifanye trick gani ili ifunguke? Nimejarubu kuingia YouTube ila sijafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizp langu
0 Reactions
17 Replies
52K Views
Habari, Nina sumsung A32 5g inaandikwa kt network Ukiweka SIM card ya tigo inaandika Limited service Haikubali kusoma line za bongo Kwa mafundi software na hardware nipeni solution
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana Home of Great Thinkers, Nimedondosha Mashine ninayotumia HP probook 440 G2 imevunja Case yake upande wa Kioo. Mwenye Housing /case ya mashine hio tuwasiliane nataka kununua.
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ