Je, naweza kuifunga (lock) TV iliyoibiwa?

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Wezi sio watu wazuri, wamekata dirisha (grill) na kuondoka na Tv yangu,

Kabla sijanunua nyingine nataka kujiridhisha ni kwa njia gani naweza kuiprotect TV yangu? kwenye hizi smart TV kuna jinsi naweza kulock mtu mwingine asiweze kuitumia?

Wenzangu nipeni maujanja, Tv zenu mnaziprotect vipi na hawa Vibaka?
 
mkuu, tafuta nyingine tu ndio ishatoka iyo,

wanai-dismantle TV kesho unakuta spare parts mtaa wa Uhuru
Nataka kununua nyingine. Lkn nataka kujirishisha kwanza nitumie mbinu gani.. incase wakija tena washindwe
 
Wezi sio watu wazuri, wamekata dirisha (grill) na kuondoka na Tv yangu
Kabla sijanunua nyingine nataka kujiridhisha ni kwa njia gani naweza kuiprotect TV yangu? kwenye hizi smart TV kuna jinsi naweza kulock mtu mwingine asiweze kuitumia?
Wenzangu nipeni maujanja, Tv zenu mnaziprotect vipi na hawa Vibaka?
Najaribu kuwaza locally; vipi ukiifunga kufuli lenye alarm kwa nyuma ili ikitikisika tu ipige kelele? Kama ni usiku at least utaamka au itamshtua mwizi.
Screenshot_20210328_192706.jpg

Au ubandike hizi 'vibration detector' zinazopiga alarm ikitikisika.
Screenshot_20210328_193847.jpg
 
Back
Top Bottom