Naombeni tofauti kati ya Hometeck TV na Ailyons

Hapo nisawa unauliza tofauti kati ya mguu wa kulia na mguu wa kushoto mkuu,hawanaga tofauti hao tofauti yake hapo ni majina tu.

Brand nazozijua mm

Sony Bravia
Samsung
Lg
TCL
Hisense

Wengine hao tunavumiliana tu
 
Apo zote ziko sawa tu, ukiacha brands kubwa kama sony,lg,hisense,tcl na samsung nyingne zote unaweza kununua tu bila kujali brand, ilimrad umerizika na muonekano wake.
Though kuna brand za kawaida tu za bei ndogo kali na imara brand tu. Kwamfano tv za Haier
 
Haier si brand ndogo mkuu, ni kubwa kushinda hata Hisense hii Kampuni ipo Fortune 500, kampuni 500 kubwa zaidi Duniani.
 
Back
Top Bottom