Nikipigiwa simu yangu inakata

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
907
Habari wakuu,

Simu yangu ni google pixel 5 kuanzia Jana mtu akinipigia inakata naomba msaada tafadhali maana nimeshaizima na kuiwasha pamoja na kuirestart bila mafanikio yoyote.

Je hili tatizo linaweza kutokana na simu kudumbukia kwenye maji?

Tafadhali naomba kuwasilisha tafadhali.

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom