Msaada Software for data recovery

ton11

Senior Member
Apr 8, 2019
106
135
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata software yoyote ya kurecover deleted data kutoka kwenye computer?
 
Data deletion imefanyikaje..?

Ili nijue nakupa tool ipi. Then kama unataka ile tool expensive zaidi (For Forensic purposes) check me PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom