Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Well, look what we have here, if it isn’t a white Nexus 4! Hang on, you say you’ve seen this before? Wait, this is official! That’s right, after all of the leaks and speculation, LG have finally...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habar ya saiz wana jukwaa nna tatizo kwenye pc yangu kila nnapoconect internet kwa kutumia modem inaanza ku-blink display amin inazima na kuwaka display but haidisconect internet b4 ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
waungwana hebu nielewesheni mbona nikitumia internet katika line ya airtec baada ya nusu saa au saa moja alaf haikubali tena wakati network ipo ok
0 Reactions
8 Replies
1K Views
mobile Share on Twitter Share on Facebook Share on Google Plus Share on LinkedIn Nokia on Wednesday April 24, 2013 launched a WhatsApp phone that includes...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Jamani jf naomba kujua kutoka kwenu galaxy s3 huwa inatumia andoid ua inatumia app samaani wa ungwana
0 Reactions
10 Replies
1K Views
ile njia inayopendwa na makampuni kufanya malipo ki electronics imepigwa bomba ....... na mwenyewe amekamatwa.....na kila aloweka hela imekula kwake....zaidi soma mwenyewe Liberty Reserve founder...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
ndugu zangu hii Vodafone app ya facebook nimepekua sijaona paku-log out msaada kwa mwene ufaham
0 Reactions
1 Replies
682 Views
wadau wa jf nielewesheni ni fanyeje kwa sababu ninapotumia airtel internet nusu saa tu au saa 1 baadae inasumbua haikubali tena kwa wakati hule mpaka siku ya pili ndiyo inakubali lakini ndio hivyo...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
http://www.kinondonimc.go.tz/ nani anaeruhusiwa kusoma mambo ya manispaa? kwa nn wanafunga tovuti, msaada wa kuihack hii web
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau, natumia simu tajwa hapo juu, naombenii msaada wenu ni wapi naweza pata betri yake original maana hiii niliyonayoo ni full kimeo haiwezi ku-last hata kwa two or three hours, ni wapi zinauzwa...
0 Reactions
3 Replies
913 Views
kama wewe ni mpenzi wa video games utakua unajua tayari sony wamezindua playstation 4 na microsoft nao wamezindua xbox one. xbox one sio game tu limezinduliwa na mambo mengi kama tv box, kinetic...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Nasaka fundi wa kunibadlshia screen ya simu yng ya google ideos na kufahamu gharama yake
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Sometimes inanisaidia kwa speed yake ilivyo nzuri..........
0 Reactions
13 Replies
5K Views
naomba mnisaidie ndugu zangu...mimi si mtaalam wa apple ntaijuaje ipad kama ni original au fake??? shukran
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wa zoefu hizi simu za sisi wa kipato cha chini ni kwamba nikiwasha tu inaandika system error nifanyaje ili simu yangu iwe sawa?
0 Reactions
0 Replies
681 Views
 U'll love this…. A jobless man applied for the job of "office boy" at Microsoft. The HR interviewed him then watched him cleaning the floor as a test. "You are employed" he said...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
For the first time, you can connect to the coffee shop Wi-Fi and your 4G mobile device, using both Internet connections for their combined speed, and increased reliability. With Connectify...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
msaada jamani which one is better with reasons, nataka mnisaidie coz nipo njia panda. :A S 39:
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Wana JF wenzangu kuna mtu ameniblock kutuma friend request pia kutuma sms kwa muda wa siku 30 kwa watu ambao bado hawajawa marafiki zangu kamili ila nafahamiana nao.Nifanyaje ili niweze kuifungua...
0 Reactions
5 Replies
13K Views
Naomba msaada,uwa naboleka sana napotumia internet inatokea incoming call,napo.Jaribu kuweka incoming call barring inaniandikia kuwa nimejaribu mara nyingi password ambazo sio sahihi. Yaani "Call...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Back
Top Bottom