Write protectect error on flash disk

Write protectect error on flash disk

jumaa24

Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
97
Reaction score
13
guys nina 8GB imation flash!! Nilikua nahamisha file la 1.9GB from PC, at the middle of that ikaleta hiyo error, since that haingizi data wala kutoa, kila ukijaribu inaleta hiyo error, pia nikitaka ku format still inaniambia kua flash iko write protected so it can not be formated, nimehangaika google stil patupu, anyone with a solution yet?
 
Mkuu hapa utapewa majibu mengi,ila ushauri wangu kwako,ni kuanza kujipanga kununua nyingine.Mimi yangu ilipata tatizo hilo tangu mwaka jana,nimteumia njia zote ninazozijua mimi,nimegoogle sana,humu JF nimepita,koote huko majibu ninayopewa nikiyatumia yote yameshindwa kutatua tatizo hili.

Kuna baadhi ya flash zikipata tatizo hilo huo ndio unakuwa mwisho wake..I'm talking from my experience..nimekutana na flash kama 4 hivi zenye tatizo kama hilo lkn hadi leo hazijapata solution..
 
Maybe true kaka maana nimejaribu kwenda kwa web site yao wamenipa jibu kama lako, there is no solution for dat error else dan replace it
 
Back
Top Bottom