Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau naomba msaada wenu nina IPOD 16GB nataka niconnect internet nifanyeje?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam wakuu nahitaji ku-delete facebook a/c ila hii thread ilishawekwa hapa JF na chrisman jinsi ya ku-delete fb a/c akatupia na link inayokupeleka kwenye page ya "permanently delete account"...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Salaam wakuu nahitaji ku-delete facebook a/c ila hii thread ilishawekwa hapa JF na chrisman akatupia na link inayokupeleka kwenye page ya "permanently delete account" kwenye facebook then...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani natumai hamjambo, Kuna wimbi kubwa la vijana wa kiume limeibuka, linafanya mchezo wa kubip au kupiga namba za watu ovyo na wakikuta ni msicha basi wanaendele na usumbufu wao,watapiga iwe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wataalamu wetu naomba msaada simu yangu imeingia virus ni blackberry 9085 naomba msaaada nifanye njia gani kuwaondoa natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu natumaini wote wazima,ila ambao kidogo kiafya hawapo vizuri tuwaombee kwa mungu wapone mapema, ombi langu kuu naomba mwenye kujua manual setting za internet...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wataalamu naombeni msaada tafadhali kuna namba nataka kuiblock lakini nimeshindwa nina E5 na N8 zote nimeshindwa msaada tafadhali wakuu Shukrani in advance
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Habari wanajamvi, ninaomba msaada jinsi ya kufanya usb flash iwe bootable
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF naomba kuuliza simu ya Nokia 200 haina uwezo wa kudownload huduma ya WHATSAPP? NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU!
0 Reactions
3 Replies
777 Views
nahitaji kuupload pic but nashindwa si kwenye computer wala simu ambayo ni smartphone..msaaadaaa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau wa jf hebu nielewesheni juzi wakati na login katika facebook nimekuta msg ambazo cjazituma mimi SWALI:jee mtu anaweza kuhack account yako bila ya ku change pasword kama jawabu ni ndio hebu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, nilikua naomba kujua jinsi gani mtu unaweza kutengeneza video DVD ya collection kwa kutumia format ya DIVX au AVI ikiwa pamoja na Title na Root menu. Au kwa aliye na ufahamu wa kuweka movie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natumia apps ya jamii forum apa kwenye cm yangu htc wildfire lakini inakataa inasema the appication has stopped unexpectedly... nini tatizo yan sienjoy JF at ol
0 Reactions
2 Replies
730 Views
What is an IP address? Your IP address is the address that identifies your computer on a network, to any application (such as a web browser) that uses the Internet communications protocol...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau wa jf hebu nielewesheni juzi baada ya ku login katika account yangu ya facebook nimekuta replay kibao baada ya kuangalia sent messege nakuta messege kibao ambazo cjazituma mimi SWALI:jee mtu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu naomba msaada wenu lap top yangu aina ya dell inspiron n 5050 haitaki kuunga wireless internet wala kwa cable napata tabu sana kwani ofisini kuna wireless internet na cable pia inapatikana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
0 Reactions
7 Replies
1K Views
heshima kwenu!nina laptop aina ya toshiba,window 7 ultimate,toka jana inazingua!nikii washa ina waka kama kawaida,cha ajabu unaweza ukafanya kazi ghafla tu,ina jizima ila kwenye display mwanga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kutumia flash kwenye play station coz ps yangu imekufa lenzi ....
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hivi wadau apps za jamiiforum naona kuna za blackberry i phone,android sasa jee hakuna application ya jamiiforum kwa mfumo wa java kama ipo nirushie link nii download
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom