Msaada screen ya laptop

Msaada screen ya laptop

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Msaada wenu wakuu screen yangu.inadisplay marangi rangi tu na blur afu picha inaonekana kwa nyuma ya hayo marangi. nimejaribu kugoogle sijafanikiwa natumia toshiba satellite c850
 
Mkuu tafuta kilo 2 takutatulia shida yako hiyo.Nitafute kama uko tayari kwa 0766507080
 
Msaada wenu wakuu screen yangu.inadisplay marangi rangi tu na blur afu picha inaonekana kwa nyuma ya hayo marangi. nimejaribu kugoogle sijafanikiwa natumia toshiba satellite c850

Kwa hiyo unataka msaada jinsi ya kutatua hilo tatizo au unataka kureplace screen?Kam screen inaonyesha hivyo ulivyosema screen haina tatizo labda kama uliigonga laptop sehemu,possibly kuna kitu kinaitwa invertor kina weza kuwa na problem au tatizo linaweza kuwa kitu kingine say loose connection ya video cable.
Test:
1.Connect it to an external screen uone je tatizo bado lipo?
2.Jaribu kuwa unabadilisha angleya screen kidogo kidogo namanisha unaifungua kwa kusukuma mbele zaidi point yangu ni inawezekana kuna angle ikaonyesha vizuri if that happen inawezekana kukawa na lose connection.
Usikimbilie kubadilisha screen,screen ikionyesha contents hata zikiwa zimefifia cha muhimu unaziona then iko ok.
Try then leta mrejesho nyuma.
 
Back
Top Bottom