Nakerwa na huduma na mtandao wa tigo!

Nakerwa na huduma na mtandao wa tigo!

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
naamini mnapita mahala hapa na kusoma. Tigo wamekuwa na mtindo wao wa huduma kama kaban'g, extrem etc, ukijiunga na huduma hiyo unajikuta hatasalio lako lilo kuwepo lina pungua kadri mda unavozidi kwenda hali umejiunga na sec unazo! Usipo junga unakuta wamekata kiasi cha pesa hata pasipo kupiga, imefika wakati tunaogopa hata kuweka vocha kwenye simu, ukweli kama hamtafuatilia na kulipatia ufumbuzi swala hili sioni haja ya kutumia mtandao wa TIGO!
 
ingekuwa vizuri sana ukawasiliana nao moja kwa moja kujua tatizo ni gani! ni kweli wanakera sana hawa jamaa siku hizi..
 
ingekuwa vizuri sana ukawasiliana nao moja kwa moja kujua tatizo ni gani! ni kweli wanakera sana hawa jamaa siku hizi..

Mkuu hawapokei simu, pia unapoendelea kupigapiga ndipo unapo jikuta salio linakata
 
Airtel yatosha, napata dak. zangu 70, sms 200. mb 175 kwa Tsh 1,999/=, za kutumia kwa wiki 1.

AIRTEL YATOSHAAAAAAA
 
Back
Top Bottom