Bei ya Nokia Lumia 800 Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya Nokia Lumia 800 Tz

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sayicom, Sep 7, 2012.

 1. s

  sayicom Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana Jf nimetokea kuipenda simu hii ya Nokia Lumia 800 sijui hapa Tz yetu hususan dar nitapata kwa shilling ngapi?
   
 2. e

  emraan New Member

  #2
  Feb 3, 2013
  Joined: Feb 3, 2013
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ninayo nauza tz sh.450000/ ntafute 0713422826
   
 3. j

  julius chumila New Member

  #3
  Apr 15, 2013
  Joined: Dec 24, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na nkiwa nataka lumia 720 used utauza shingap?
   
 4. k

  k ze ril New Member

  #4
  Jun 1, 2013
  Joined: May 31, 2013
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pia nataka lumia 720 mpya au used ni bei gan hizi here is ma no. 0752975953 cash ninayooooo
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2013
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Msinunue Lumia zente jina linaloishia na 00 yaani 700, 600,800,900. Hizi zinatumia Windows Phone 7.x ambayo haina support ya USSD menu, ile system ya m-pesa na menu kama za voda za huduma kwa ujumla. Nunueni zinazoishia na 20 kama 820,720 , 920 hizi zinatumia Windows Phone 8 ambayo ina full support ya USSD. WP7 haziwezi kuwa updated kutumia WP8.
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Jun 1, 2013
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  niliona bei za 520 na 720 east africa

  bei za lumia 720
  kenya inauzwa 29,000
  tanzania inauzwa 654,000
  uganda inauzwa 1,035,000

  na lumia 520 inauzwa hivi
  16,000 kwa kenya
  355,000 tanzania
  575,000 uganda

  nikaconvert hela za kenya kuja kibongo
  lumia 720 kenya inauzwa 522,000
  lumia 520 kenya inauzwa 288,000

  hapo unaona kuna tofauti zaidi ya laki na 20 kwenye lumia 720 na kama 70,000 kwa lumia 520

  so kwa kenya ni rahisi zaidi

  sjajua bei za madukani zipoje. hizo ni bei za midcom
   
 7. j

  josh abram New Member

  #7
  Jun 1, 2013
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi mwenyewe nahitaji sana lumia 820

  Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
   
 8. M

  Mbonimie New Member

  #8
  Jun 2, 2013
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi nina Samsung SGH-i917 ipo hivihivo haisupport USSD menu wala cant access market place. Any help of how to access market place?
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2013
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hakikisha umeupdate to the latest windows phone 7. Install Zune kwenye PC www.windowsphone.com/en-us/how-to/wp7/zune-software kisha connect simu na check for update uwe na mtandao mzuri na muda mwingi, hiyo should fix marketplace. Hakuna fix ya USSD.
   
Loading...