Going to sleep plz help me

Going to sleep plz help me

MAJANGAMAJANGA

Senior Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
179
Reaction score
93
Habar wanajamii nahitaji msaada wenu jamani kuna computer moja ni desktop compaq tatizo hii mashine ukiwasha inaboot vizuri then ina kuandikia going to sleep na taa ya kwenye monitor inabadilika rangi inakuwa ya njano lakin cha ajabu cpu bado inakuwa inawaka ile front led light inawaka kama kawaida na fan inazunguka hakuna beep code zozote inayotoa naombeni msaada wenu wadau plz
 
hii problem inawezekana harddisk imeumia.better to take kwa fundi
 
Back
Top Bottom