Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,234
- 1,503
Nina laptop ya Dell, Latitude D 531. Hii laptop ina matatizo ya keyboard. Nataka kuingia kwenye Bios nakutana na password. Nitafanyaje niweze kui-disable hii password. Jamaa aliyenipatia hii machine anasema hajuwi mambo hayo. Yeye aliinunuwa kitambo mtumbani. Wadau msaada jamani!!!