Kuna uzi humu unaitwa African satelite gear , wataalamu wengi sana wa satelite dish wamechangia soma mwanzo hadi mwisho.
Mimi niko dar na satelite hiyo nimefanikiwa kuipata japo hapo mwanzo ilinisumbua kidogo sababu sikuwa na right tools. Footprints za nilesat zinaishia juu ya somalia hivyo sisi huku tunafanya 'fringe reception'.
Badilisha dish tumia la 135cm ku dish litaperform vizuri kuliko hilo lako la 6ft kama hutaki shida kabisa nunua 8ft c band dish, halafu nunua lnb lnb ya 0.2 db utafanikiwa