Msaada

Msaada

Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
823
Reaction score
372
Simu yangu ya htc nikitaka kutumia camera au video camera inazima nikiclick kwenye camara inazina halafu inawaka htc desire
 
backup all files and hardware reset.
Kama bado then its a hardware fault..pole...no easy fix .
Nina maswali lakini kabla huja fanya chochote..
Umeweka new rom? Au umeiroot?
Ukiweka kwenye cable ya umeme na ku jaribu camera app ina reboot pia?
Imeanza baada ya ku weka app au ghafla?
:A S-coffee:
 
Hebu backup data zako kisha tafuta folder lililoandikwa Windows halafu tafuta file lililoandikwa HTCColdBoot kisha uliclick halafu subiria imalize process. Nb. Kama hilo file halionekani basi tafuta program inayoitwa TotalCommander italionyesha kwa sababu liko hidden
 
Mkuu nimetafuta hilo file totalcommander sielewi linapatikana wapi
 
Back
Top Bottom