Nimekwama wakubwa

chotarasukari

chotarasukari

Senior Member
Joined
Jan 6, 2013
Messages
106
Likes
5
Points
35
chotarasukari

chotarasukari

Senior Member
Joined Jan 6, 2013
106 5 35
habari wakubwa zangu, naitaji kutengeneza page ya facebook bila ya kuwa na account ya facebook account ili niitumie kama account yangu ya facebook. mfano page ya www.facebook.com/fullsoka
pia naitaji kufuta page ambayo nimeitengeneza ikawa ndani ya account facebook.
shukrani wakubwa
 
chotarasukari

chotarasukari

Senior Member
Joined
Jan 6, 2013
Messages
106
Likes
5
Points
35
chotarasukari

chotarasukari

Senior Member
Joined Jan 6, 2013
106 5 35
Ingia www.facebook.com utaona kila kitu na fuata maelezo wa hicho unachohitaji. Usiwe mvivu!
kila nikijaribu nashindwa labda sababu ya uelewa wangu mdogo wa computer. Je naweza kuwa na page bila kuwa na account ya facebook?. Asante
 
Michael Amon

Michael Amon

Verified Member
Joined
Dec 22, 2008
Messages
8,764
Likes
752
Points
280
Michael Amon

Michael Amon

Verified Member
Joined Dec 22, 2008
8,764 752 280
habari wakubwa zangu, naitaji kutengeneza page ya facebook bila ya kuwa na account ya facebook account ili niitumie kama account yangu ya facebook. mfano page ya www.facebook.com/fullsoka
pia naitaji kufuta page ambayo nimeitengeneza ikawa ndani ya account facebook.
shukrani wakubwa
Huwezi kufungua Page facebook bila ya kuwa na account facebook.
 
Forum statistics

Threads 1,272,337
Members 489,924
Posts 30,448,094