matumizi ya NOKIA LUMIA 510

believer

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
633
213
Nimenunua original simu ya nokia lumia 510,tatizo ni kwamba simu hii inanisumbua ktk kukata simu baada ya kumaliza kuongea,haikubal hata kidogo,msaada wadau
 
Inabidi uwe unamwambia unaempigia akate yeye

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Angalia kwenye manual..ila ungechukua lumia 620 kama ninayotumia hapa ungeenjoy sana maana hiyo nina mashaka kama ina USSD code kitu ambacho itakusumbua kwenye vitu kama Tigopesa na Mpesa.
 
Nimenunua original simu ya nokia lumia 510,tatizo ni kwamba simu hii inanisumbua ktk kukata simu baada ya kumaliza kuongea,haikubal hata kidogo,msaada wadau

Bonyeza button ya kuongeza sauti au geuza simu iangalie chini (upside down)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom