Mshumaaa
Senior Member
- Sep 26, 2012
- 156
- 17
Mimi narusha picha kwenye cable kwa kutumia Amplifire na Booster .Naomba kuelimishwa kuhusu FAIBA Siielewi kabisa ikiwa ni pamoja vifaa vyote vinavyohusika ikiwezekana na gharama. Nataka kubadili system nakuachana na system ya kutumia Amplifire na Booster ambapo picha zinakuwa sio bora. Natanguliza shukrani zangu za dhati.