mozilla vs opera katika computer ipi ni nzuri

mozilla vs opera katika computer ipi ni nzuri

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
waungwana hebu nielwesheni kuhusu mozilla na opera ipi ni bora zaidi kwani me niliingiza opera ikanisumbua sana au tatizo ilikuwa ni version?
 
Bado kiboko yao ni Google chrome na Browser ambazo zinafanana chrome kama vile Commodo na Torch. Ila ni vizuri pia kukushauri uzijaribu kwa maana zinajitosheleza kwa mengi.
 
Chrome ndio mpango mzima. Ila kama unatumia Windows 8, hata internet explorer 10 iko vizuri.
 
Chrome ni matata, ila firefox kama we ni developer itakuwa poa sana kwako.
 
Back
Top Bottom