Hansy wa East
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 446
- 232
Wadau mm sijawahi kutumia hizi android wala windows phone natumia nokia c3 sasa hapa nna laki 2 na nusu nashindwa ninunue cm gan maana me wakusoma hvyo ningependa zaidi isome pdf na ikiwezekana m office sasa msaada wako hapa wa kimawazo ikiwezekana na sehemu nnapoweza kupata hyo cm me npo Dar. natanguliza shukrani...