5 things ios 7 needs to have


Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
7,144
Likes
175
Points
160
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
7,144 175 160
5-better multitasking
uwezo wa ku switch kutoka app moja mpk nyingine instantly

4.automatic update
app ikitoka update yake kama ni kufix bug au perfomance improvement basi yenyewe tu ijiupdate sio mpk iombe permission kutoka kwa user(wastage of time))

3.better map
hapa ndio sehemu apple walipochemka kutoka kushindana na google na kupelekea baadhi ya watalii kupotea njia wakiziamni map za apple,so waziupdate na waondoe makosa madogoomadogo ikishindikana warudishe google map kama default map app.

2.multiple account log in
kama ilivyo kwenye computer kuna account ya administrator,guest,kid n.k basi na ios 7 pia wafanye hivihivi kuongeza privacy miongoni mwa watuimiaji

1.setting
apple inabidi warahisishe setting na kupata vitu kwa urahisi kwa mfano ukitaka uwashe bluetooth inabidi uingie setting then uingiie dfnnd alafu ndio uwashe buletooth,waweke hiyo kitu katika home screen iwe inapatikana kwa urahisi kama ilivyo kwenye adroid
source:Features Apple needs in iOS 7 | CNET TV | Video Product Reviews, CNET Podcasts, Tech Shows, Live CNET Video
 
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,925
Likes
50
Points
145
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,925 50 145
..hyo Automatic Update naweza ku i critisize.... Platform Nyng huwa znaulza hii sehemu coz inatumia bandwith.... So kama ikianza ku update automatic kuna watu wataliwa vocha....
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,674
Likes
9,690
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,674 9,690 280
mkuu hiyo namba 2 inamilikiwa na nokia ili ios aitumie inabidi atoe chapaa na sidhani kama yupo katika situation ya kumnufaisha nokia.

even android hawana hiyo feature kwenye simu ipo kwenye tablets tu.

mpaka sasa simu yenye hio feature ni wp basi ambapo inatambulika kama kids corner

patent yenyewe hii hapa cheki picha
 
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
7,144
Likes
175
Points
160
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
7,144 175 160
mkuu hiyo namba 2 inamilikiwa na nokia ili ios aitumie inabidi atoe chapaa na sidhani kama yupo katika situation ya kumnufaisha nokia.

even android hawana hiyo feature kwenye simu ipo kwenye tablets tu.

mpaka sasa simu yenye hio feature ni wp basi ambapo inatambulika kama kids corner

patent yenyewe hii hapa cheki picha
haya mambo ya hakimiliki yanatukusesha uhondo kabisa na yanapunguza ladha ya ushindani aaaagggg!!!!
 
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
7,144
Likes
175
Points
160
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
7,144 175 160
..hyo Automatic Update naweza ku i critisize.... Platform Nyng huwa znaulza hii sehemu coz inatumia bandwith.... So kama ikianza ku update automatic kuna watu wataliwa vocha....
may be if posibo iwe inajifanyia auto update pale amabpo mtumiaji ana internet connection ya wi-fi au kuwe na option ya kumuuliza mtumiaji akama anahitaji hiyo auto update au la maana kkwa wenhine bundle sio ishu!!!
 

Forum statistics

Threads 1,273,325
Members 490,351
Posts 30,478,120