Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwa mwenye product key za Bongo 1.0 operating system,naomba anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama nimpezi wa mipra bonyeza link hapo chini utaweza kuangalia league zote duniani live pamoja na premiere league kwa kutumia stream internet. unauweza wa kuangalia hata HD channels lkn...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Naomba kujua kama hiyo application ipo tayari kwa simu za blackberry ??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Simu Yangu toka jana Nashindwa kuingia Google wala ku download chochote kile, nikiingia Google Inaniambia Web page not available, tatizo ni nini? Aina ya simu yangu ni Ideos huawei - U8150
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Wakuu naomba msaada nitapataje network controller drivers i.e wireless in toshiba satellite c850
0 Reactions
1 Replies
805 Views
natumia samsung b 5510 galaxy y pro tatizo ni kwamba nikitaka kupiga picha natapa this error ERROR MESSAGE HANDLER.HANDLE MESSAGE Any to help me?
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Nina simu yangu ya Samsung GT-S5603 imegoma ya touch screen imegoma kabisa kusense kwenye kioo,nashindwa hata kuitumia,ipo ipo tu,naombeni msaada wenu kwa wale wenye kujua jinsi ya kuitengenezea...
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Fellas nnatatizo kwa laptop yangu aina ya macbook 2,1 inabehave strangly nimeichomeka kwa umeme ila imeweka x kwa icon ya battery afu inanipa ms plugged but not charging! Nimetest battery kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nisaidieni kuhusu kutambua lilipo soko la circuit za simu manake wanaozitafuta wamekuwa wengi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I have huawei e303 modem from vodacom. My modem has unlimited internet bundle. the problem i am recently facing is that my modem disconnects from internet after almost every one hour. I am using...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kAz1 kwenu! :bolt:
1 Reactions
0 Replies
787 Views
Habari zenu wana JF, nahitaji kujua zaidi kuhusu https na ssl na nini athari za https kutotumika kwenye website. Nahitaji maelezo mazuri kwa anefaham teknolojia hii. Kwa mtu akinielewesha kwa...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Ni aina gani ya Laptop iko bomba na inadumu zaidi?. Na je ikiwa na properties zipi ndo inafaa zaidi?.Pia ntajuaje kama ina uwezo wa kuburn DVDs.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salam wanajamvi: kwa muda nimekuwa nikijaribu ku-install software ya xampp katika pc yangu lakini tatizo apache inafail ku-run , mara nyingine kunipa message kuwa port 80 inatumika so haiwezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa naactivate window 7, wakati wa kuirestart ndo tatizo limeanzia hapo, inawaka inazima, kuwaka kwake inaishia kwenye neno ACER then inazima, sijui ina matatizo gani wakuuu, plz naomba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kufaham Hatua Muhim za kufata kutegesha Dish La Tv kwenye Satelite Husika nikiwa Na Satelite Finder Meter. mfano: Ku Eutelsat W4. 36.0°E
0 Reactions
0 Replies
789 Views
NNNnnnnnnnnkkssnnnnnnnnnnnnnnnnn nnnnnn mmmmmmmmmnnkdsakljl
0 Reactions
0 Replies
733 Views
hawa jamaa hawatak mas'hara kwan ukimaliza kifurushi chao fasta wanaku disconnect! hawana ule mchezo wa peruzi but usidownload na kustream video au kuklimit speed kwa mda fulan kam kamtandao...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu naweza ku update iphone 4 kwenda kwenya ios 7 kwa kutumia wifi only bila kutumia laptop/itunes? CC chief-mkwawa C6 [MENTION=11527]good guy Kang
0 Reactions
7 Replies
3K Views
"Any Video Converter Ultimate will help you rip DVD and convert video to popular formats for iPod, PSP, mobile phones" "Users will be able to access options such as Apple iPod / iPhone / iPad...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom