Msaada digital camera aina gani ni nzuri.

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,307
24,338
1. wana jf nakuja mbele zenu mnisaidie aina gani ya digital kamera ni nzuri kwa maana ya brand kati ya hizi hapa canon,sony na nikon ambazo nimepata kuzifahamu au nyngine yoyote.

2. Na baada ya kunitajia aina nzuri, pia ningeomba ushauri wenu ktk specs yani mega pixels, zoom n.k ambavyo sivifahamu.

Note:
naogopa kwenda shop bila kuwa na uwezo wa kuzi'analyse kitaalamu, kwani kuna rafiki zangu kama watatu naona wameuziwa mbuzi kwenxe gunia ingawa baadhi ya kamera zilkuwa mpya.
 
Mie natumia ya Sony ila na wala haina usumbu. Ila cha muhimu kwenye kamera mi megapimixel. Kama ni kamera ya matumizi ya kawaida na nzuri nunua kuanzia 14mp na kuendelea. Mimi natumia ya 14.1mp.
 
Mie natumia ya Sony ila na wala haina usumbu. Ila cha muhimu kwenye kamera mi megapimixel. Kama ni kamera ya matumizi ya kawaida na nzuri nunua kuanzia 14mp na kuendelea. Mimi natumia ya 14.1mp.

vipi kuhusu zoom na vingnevyo
 
[h=3]Kama una wakati fungua hiyo link hapo chini jamaa kaeleza vizuri sana kuhusu tofauti za camera zote tatu, " I would pick between Nikon, Canon and Sony. I added Sony to the list, because the company has been releasing solid products during the last few years and uses the excellent Zeiss lenses. Choose between these three brands and you won't go wrong. Nikon and Canon certainly lead with the widest selection of cameras, lenses and accessories, but Sony will most probably catch up pretty soon.
It is all about you[/h]Again, think of your camera as your tool for the job. Without good technical skills and creativity, no matter what camera system you use, you will never be able to capture anything good. Read, learn, learn and learn, then experiment and shoot a lot – that's the only way to become a better photographer. Don't become a gearhead and buy more and more useless stuff you do not need. Once you become a better photographer, you will know exactly what you need to get the best results.


Read more: Nikon vs Canon vs Sony"
 
mkuu kila mtu atavutia kwakwel kwa uzoefu wa camera walizozitumia kwa upande wangu nunua smart camera Galaxy samsung model EK-GC100 mkuu hii ni kama tablet ndogo maana unaweza ku upload picture, kutuma msg kwenye simu ya mkononi maana inatumia line ya simu, kutuma email na mambo mengine kibao,
 
[h=3]Kama una wakati fungua hiyo link hapo chini jamaa kaeleza vizuri sana kuhusu tofauti za camera zote tatu, " I would pick between Nikon, Canon and Sony. I added Sony to the list, because the company has been releasing solid products during the last few years and uses the excellent Zeiss lenses. Choose between these three brands and you won’t go wrong. Nikon and Canon certainly lead with the widest selection of cameras, lenses and accessories, but Sony will most probably catch up pretty soon.
It is all about you[/h]Again, think of your camera as your tool for the job. Without good technical skills and creativity, no matter what camera system you use, you will never be able to capture anything good. Read, learn, learn and learn, then experiment and shoot a lot – that’s the only way to become a better photographer. Don’t become a gearhead and buy more and more useless stuff you do not need. Once you become a better photographer, you will know exactly what you need to get the best results.


Read more: Nikon vs Canon vs Sony"

asante kwa ufafanuz
 
Olympus is the best.
16 megapxel & 10x zoom.
Ni nzuri utafurahia picha nzuri hata za mbali kiasi zina mwonekano mzuri
 
mkuu kila mtu atavutia kwakwel kwa uzoefu wa camera walizozitumia kwa upande wangu nunua smart camera Galaxy samsung model EK-GC100 mkuu hii ni kama tablet ndogo maana unaweza ku upload picture, kutuma msg kwenye simu ya mkononi maana inatumia line ya simu, kutuma email na mambo mengine kibao,

its damn expensive.... kwa mtu anayeshida na camera tu i wouldn't advice!!!
 
Ukipata canon yenye CCD Image sensor ni bomba sana.. zinafanya kazi sawa na proffesional camera.. GOOGLE CANONO G12 NI BOMBA SANA
 
inabidi lakini uwe more specific maana kuna trob brand ambazo pia ni very expensive hadi zaidi ya 1mil.... kama ni cost effective solution na si ilimrad tu camera i would advice you go for canon powershot A560 binafsi naitumia 4 yrs sasa na kazi zangu pia nzatake a lot of photo na naendaga offroad dust etc ila iko imara... ina 4X optical zoom, 7.1meg pixel..... kwenye kamera zoom na megapixel ndio vitu vya kuangalia tu na nilinunua 250 yrs back.... i have taken more than 5000photos with it!!!
 
Back
Top Bottom