Msaada: Nahitaji kutumia laini yoyote kwenye simu yangu

Msaada: Nahitaji kutumia laini yoyote kwenye simu yangu

shinji

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
263
Reaction score
186
Habari Wataalamu,
Simu yangu ni ZTE-G S309
IMEI NO:358523039712608

Inatumia laini ya ZANTEL pekee sasa nahitaji msaada wa kuirekebisha itumie laini yoyote.

Natanguliza shukrani kwa watakaoguswa kunisaidia
 
Back
Top Bottom