Msaada pes 2013 inazingua

Msaada pes 2013 inazingua

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Posts
776
Reaction score
644
kwa wale wadau wa games nmejaribu kuinstall pes 2013 lote limekubal lakn nkitaka kufungua inaniambia insert origin disc so cielew hapo msaada tafadhal
 
Tafuta crack yake, then install kwenye directory ya PES...
 
hapo hapo kwenye ISO ya PES uliyotumia kufanya installation kuna folder imeandikwa crack. ndani ya folder kuna file la PES13.exe
copy hii into your installation directory. utajua ni sahihi maana itakuuliza kama unataka replace au rename (same name issue). overwrite na you are good to go
 
ushauri mwingine tafuta pes 14 new season ishaanza tayari.
 
Kwa tatzo lako tafuta ...crack ndo solution tosha
 
Back
Top Bottom