Msaada wakuu plz samsung galaxy note 10.1 inanisumbua sana

Msaada wakuu plz samsung galaxy note 10.1 inanisumbua sana

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,729
Reaction score
4,999
Za usiku wanajamvi....natumia samsung galaxy note 10.1 inanusumbua sana....siku za nyuma nilikuwa nadownload app nyingi play store au ku-update app mbalimbali
, nacheki youtube , naangalia movie online na vitu vingi vinavyohusu internet....lakini nina siku kama ya 4 hii note haikubali chochote nilichokitaja hapo juu....ila naweza kubrowse mitandao mbali mbali ila sio hivyo nilivyoviolozesha hapo juu....msaada kwa mtu yoyote anaelielewa hili Tatizo.....natanguliza shukrani.
 
Nashauri jaribu ku restore factory...kwa sababu sometym simu ynyw inaweza fanya changes pasipo ww kujua ..usisahau kufanya backup ya apps zako:rolleyez:
 
Nlukuwa na tatizo kama hilo kwenye Galaxy S Duos(GT-S7562). Solution ilikuwa hii hapa, jaribu.

ukieka line ya voda automatic inaji activate wap (badala ya internet) ndio maana umepata hilo tatizo. opera na whatsapp wanakubali wap ila service za google hazikubali kusolve hilo tatizo inabidi utengeneze apn (access point name) ya internet

bonyeza menu then setting then kwenye wireless and network nenda mobile networks kisha click click apn

utaona kuna voda wap na mms bonyeza button ya menu chagua new apn
kwenye connection name andika chochote
kwenye apn andika internet

turn back then activate setting zako ur done
 
Back
Top Bottom