Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,445
- 8,418
Nimenunua smartphone ya Sony Xperia E dual C1065 hivi karibuni. Tatizo nililo nalo ni kwamba nimeshindwa jinsi ya kujiunga (connection to mobile internet) na internet inayotumia kadi ya simu. Wireless ya Wi-Fi ya ofisini nimeweza kuunganisha. Hivyo naomba msaada kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kuunganisha na internet ya simu wakati wowote . Mtandao ninaotumia ni Airtel.
Asante
Asante